Kapembe hana uwezo kuisimamia halmashauri maana elimu kichwani hana zaidi ya uganga wa kienyeji.
Manunga alifanya mpango apate mpinzani dhaifu ili apite kirahisi.
Cha kushangaza madiwani wakamkomoa kwa kumpgia kura Kapembe.