Wananchi wa kata ya Isyese sokoni katika mkoa wa Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya sanduku lenye chatu mkubwa kupatikana katika eneo la wazi.
Chatu huyo amechukuliwa na na maafisa wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa ajili ya kuhifadhiwa.
View attachment 1722913
Noma sana.Wananchi wa kata ya Isyese sokoni katika mkoa wa Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya sanduku lenye chatu mkubwa kupatikana katika eneo la wazi.
Chatu huyo amechukuliwa na na maafisa wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa ajili ya kuhifadhiwa.
View attachment 1722913
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuuuMuache chatu wangu!
Chatu wa Chato amekonda mapaja anakaribia kufa, usifananishe chatu wangu huyu na chatu mfu
Hahahaha, mlioko China tupeni apdet Vp mkeka bado unapumua au umechanika?Muache chatu wangu!
Chatu wa Chato amekonda mapaja anakaribia kufa, usifananishe chatu wangu huyu na chatu mfu
Sijaelewa mkuu ni chatu au Chato.Wananchi wa kata ya Isyese sokoni katika mkoa wa Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya sanduku lenye chatu mkubwa kupatikana katika eneo la wazi.
Chatu huyo amechukuliwa na na maafisa wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa ajili ya kuhifadhiwa.
View attachment 1722913