LGE2024 CHAUMA: Chagua viongozi wa CHAUMA na Sera ya Ubwabwa, huwezi kufanya maendeleo bila kushiba!

LGE2024 CHAUMA: Chagua viongozi wa CHAUMA na Sera ya Ubwabwa, huwezi kufanya maendeleo bila kushiba!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kuna vitu bila kujitoa akili huwezi kufanya :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: yaani kijana barobaro na akili zako unapita na kuhamasisha watu kuchagua ubwabwa!

Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

=====
Chama cha Ukombozi wa Umma, CHAUMMA, Mkoani Mbeya, kimebuni mbinu mpya ya kufanya kambeni za Uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa kwa wagombea wake na viongozi kuwafuata wananchi kwenye meneo yao na kutumia vipaza sauti kuomba kura badala ya kufanya mikutano ya kampeni kama ilivyozoeleka.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Huku sera yao kama kaiwaida ni ubwabwa, kwamba huwezi kufanya maendeleo bila kushiba!

Soma Pia:


 
Back
Top Bottom