Tetesi: CHAUMMA & ACT wapongeza Mkutano wa Putin & Trump

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla

Your browser is not able to display this video.
 
Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla
Pongezi kwao
 
yaa, dunıa ınaenda kwenye recpncılıtıon sıo huyo lıssu wenu anajıfanya yeye ana mısımamo mıkalı yeye sıo wale wakına mbowe mlıpwazoea wanafanya mazungumzo ıkulu, lıssu has no card, ıs just waıstıng hıs tıme and tıme never reversed when the tıme gone, has gone.
 
Ananyongwa lini?
 
Weh???
Nani kakuambia ACT na CHAUMMA ni vyama vya upinzani?
Kwa akili yako CHAUMMA wamepata wapi hela ya kukodi chopa,kununua zile SUV na hata uniform?
CHAUMMA ilikua na ruzuku ya bei gani?
Kwanini CHAUMMA ilisindikizwa na polisi kwenda kuchukua fomu lakini UDP, NCCR etc hawakupewa ulinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…