Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Huenda wana mikakati yao Mkuu ya kupata ushindi wa kishindoKuteua wagombea ni jambo moja. Kutafuta KURA ni jambo lingine . Wana mkakati gani wa kutafuta KURA hawa??
si uwe na na subra kidogo gentleman, halafu kisha kampeni zikizinduliwa Aug 28, uende ukashuhudie mikakati yao kule field na ground, na itapendeza zaidi?🐒Kuteua wagombea ni jambo moja. Kutafuta KURA ni jambo lingine . Wana mkakati gani wa kutafuta KURA hawa??
Chauma kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzaniNaibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara ambao kwa sasa wanaruhusiwa kwenda kuchukua fomu kwenye tume.
Kigaila ameeleza kuwa wagombea walioteuliwa ni 3182 kati ya kati ya kata 3962 na kwa kata zilizobakia mchakato bado unaendelea.
View attachment 3448125
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza #*00wChauma kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani
Chauma kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani
Chauma kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani
Chadema kilitengewa majimbo na kura za rais ngapi?Kabisa, kimeshatengewa majimbo na Kara za urais ngapi. Maana kuwa Chama cha upinzani Kuna taratibu zake
Usidharau mwiba nduguKupata vichekesho kama hivi bonyeza #*00w
Nani atazuia uchaguzi?Kwani uchaguzi upo?
Kuteua tu hao 3182 maana yake CHAUMMA kina wabachama wengi nchi nzima kata zote hizoKuteua wagombea ni jambo moja. Kutafuta KURA ni jambo lingine . Wana mkakati gani wa kutafuta KURA hawa??
Shida nini CHADEMA na nyie si mngeanzisha vyama vyenu ambavyo ni sawa na CHADEMA. .Bwege wewe.Kuna aliyewazuia?Huku ukanda wa kwetu wanatamba.Wanasema ACT ni sawa na CCM
Uzuri uliopo Tanzania ni maiti zilizolala mortually. CCM lazima waendelee kutawala milele na ndoo CCM wanalingia hilo. Mimi siku wakibadilisha vifungu vya sheria za uchaguzi ndipo nitakapo piga kulaShida nini CHADEMA na nyie si mngeanzisha vyama vyenu ambavyo ni sawa na CHADEMA. .Bwege wewe.Kuna aliyewazuia?
Siasa ni sayansi sio kelele zenu na Tundu Lisu wenu
Sasa mpo mpo tu hakuna chama cha siasa kinachisimama na nyie