Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Bora waende ACT Wazalendo au kama Wana uhakika na Ubunge waende huko huko chauma.kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital.
Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu wa Urais, Ubunge na Udiwani.
CHAUMMA ambaye hakutaka jina lake litajwe, alikanusha taarifa zinazozagaa mitandaoni kuwa tayari chama hicho kina mazungumzo ya kuwapokea wanachama kutoka Chadema.
“Sio kweli hatujafanya mazungumzo na mtu yeyote, lakini milango ipo wazi kama siku hiyo watakuja, uamuzi wa kuwapokea au kutowapokea utategemea hali ya siku husika,” alisema kiongozi huyo.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kuwapokea wanachama wapya kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wakiwemo waliokuwa wanachama wa kundi la G55 lililojitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivi karibuni.
Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA Tanzania Bara, Kayumbo Kabutali, amesema chama hicho hakina pingamizi kwa yeyote anayetaka kujiunga nao, lakini amekanusha uvumi kuwa tayari wameanza kuwapokea wanachama waliotoka Chadema.
“Hakuna wanachadema tuliowapokea hadi sasa, isipokuwa tunaendelea kuhamasisha nchi nzima watu
Chama kinapasukaje kwa watu kutoka? Yaani Leo ccm ipasuke kisa walikuwa viongozi wameondoka?Lissu analiwa kunguni gerezani kwa sababu ya ujinga wake, ameacha chama kinapasuka
Inasemekana mzee wa ubwabwa amekula ubwabwa kwa mwambakujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital.
Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu wa Urais, Ubunge na Udiwani.
CHAUMMA ambaye hakutaka jina lake litajwe, alikanusha taarifa zinazozagaa mitandaoni kuwa tayari chama hicho kina mazungumzo ya kuwapokea wanachama kutoka Chadema.
“Sio kweli hatujafanya mazungumzo na mtu yeyote, lakini milango ipo wazi kama siku hiyo watakuja, uamuzi wa kuwapokea au kutowapokea utategemea hali ya siku husika,” alisema kiongozi huyo.
Soma Pia: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kuwapokea wanachama wapya kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wakiwemo waliokuwa wanachama wa kundi la G55 lililojitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivi karibuni.
Makamu Mwenyekiti wa CHAUMMA Tanzania Bara, Kayumbo Kabutali, amesema chama hicho hakina pingamizi kwa yeyote anayetaka kujiunga nao, lakini amekanusha uvumi kuwa tayari wameanza kuwapokea wanachama waliotoka Chadema.
“Hakuna wanachadema tuliowapokea hadi sasa, isipokuwa tunaendelea kuhamasisha nchi nzima watu
Chama ni watu ukiona wanaondoka hakuna chama hapoChama kinapasukaje kwa watu kutoka? Yaani Leo ccm ipasuke kisa walikuwa viongozi wameondoka?
Tanzania ina raia milioni zaidi ya 60.Kuondoka hao 55wengine watajiunga.Watanzania wa leo hawadanganyiki.Hata waliopo CCM wanajua wanapigwa changa la macho,ila njaa ndio zimewaweka hapo🤔Chama ni watu ukiona wanaondoka hakuna chama hapo
Huku si ndiyo kwenye ubwabwa au ni wapi?kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital.