Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kasumba ya kushughulikiana na kukomoana hususan ndani ya vyama vya upinzani nchini itaendelea hadi kwenye sanduku la kura za jumla uchaguzi mkuu wa October 2025.
Kuna wagombea watakomolewa na wafuasi wa vyama vyao, hawatapigiwa kura kwasasababu tu ya midomo yao, makelele yao, hila zao, upendeleo na chuki zoa dhidi ya wenye maoni na mtazamo tofauti dhidi yao hapo kabla.
CHAUMA inaweza kufanya vizuri zaidi kama chama cha upinzani nchini, kilicho na amani na umoja wa kuaminika ndani yake, ukilinganisha na vyama vingine vya upinzani nchini ambavyo hakuna umoja wala amani ndani yake bali chuki, migawanyiko na uhasama.
Wanachama wa upinzani wanajipanga kukomoana kadiri ya makundi yao ndani ya vyama vyao dhidi ya mgombea wao mwenyewe.
Je,
hii ina afya kwa ustawi wa demokrasia ndani ya vyama vya siasa kweli? Na je, ni wakati muafaka sasa falsafa ya 4Rs za Dr. Samia Suluhu Hassan ndio ikatumika kama muarobaini wa kutibu majeraha ya migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya vyama vya siasa nchini, na hiyo falsafa ya maridhiano ikatumika bila kuona aibu wala kificho?🐒
Mungu Ibarki Tanzania