Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 280
- 526
Kwa hiyo wameamua kusitisha operation au?Kama ubwabwa maharage tu wameshindwa kutugawia,chopa wataweza kweli?
Mafuta tatizo tuko kwa mfadhili hapa tunayajengaChaumma walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.
Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.
Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
chadema ndio pekee wanawachukia na hawawapendi CHAUMA gentleman 🐒wamegundua wananchi hawawapendi
Kwa kweli walipaswa kuhakikisha kuna caterers wa kutosha na maubwabwa kwenye mikutano yaoKama ubwabwa maharage tu wameshindwa kutugawia,chopa wataweza kweli?
Sasa mbona mnaowapenda hamuendi kwenye mikutano yao?chadema ndio pekee wanawachukia na hawawapendi CHAUMA gentleman 🐒
Dc mambo ya kisarawe na chauma wapi au mnalima ubwabwa huko angalia ulivyo na hapa nyuma ya keyboardchadema ndio pekee wanawachukia na hawawapendi CHAUMA gentleman 🐒
Au mfadhiri kaona kazi imewashinda?Mafuta tatizo tuko kwa mfadhili hapa tunayajenga
tatizoJoni anatuvuruga hapa anajifanya anaijua chauma vizuri kuliko mzee wetu Rungwe hakuna maelewanoAu mfadhiri kaona kazi imewashinda?
Mliahidi mvua kali mmeishia kukojoa🤣🤣🤣
Nafikiri wakijifungia chumbani wanalia sana.tatizoJoni anatuvuruga hapa anajifanya anaijua chauma vizuri kuliko mzee wetu Rungwe hakuna maelewano
Chama cha Ubwabwa na MaharageChaumma walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.
Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.
Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
Zikitajwa nchi zenye maajabu duniani hii ya kwetu ni moja wapo! Kama watu mpaka leo wanaamini kwamba chopa ndiyo hujaza watu uwanjani na siyo ujumbe basi ni hatarChaumma walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.
Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.
Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
Hivi mwenyekiti wa Chauma ni nani Vile, Ni John au Rungwe, hatuelewi elewi.Chaumma walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.
Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.
Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
Huyu kama mshumaa ni nan tena bwasheeDc mambo ya kisarawe na chauma wapi au mnalima ubwabwa huko angalia ulivyo na hapa nyuma ya keyboard
View attachment 3358211
Wameishia kujambaAu mfadhiri kaona kazi imewashinda?
Mliahidi mvua kali mmeishia kukojoa🤣🤣🤣