CHAUMMA: Kampeni ya kuruka na chopa mikoa 16 imeishia wapi?

CHAUMMA: Kampeni ya kuruka na chopa mikoa 16 imeishia wapi?
Tatizo wanapewa pesa ya ufisadi ila hawana watu, ni kama mpira uwanjani bila washabiki.

Kwa sasa Wananchi hawadanganyiki.

Sponsa ashaona mradi haulipi, ni biashara kichaa.

NO REFORMS NO ELECTION 📌
 
Chaumma walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.

Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.

Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
Ilifia palepale mwanza furahisha. Siku hiyo hiyo......NRNE
 
Tunataka ubwabwaaaa! Tunataka ubwabwaaaa! Ubwabwaaaa! Ubwabwaaaa oyeeee!"Tulinde kula yetu ya ubwabwa wa maharageeeee"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…