Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwann salum mwalimu asiende kugombea pia kwao au hakubalikiChama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania na nafasi za ubunge nchini kote.
Uamuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Agosti 24, 2025 jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Benson Kigaila kuwa ni sehemu ya mkakati wa chama kujipanga kikamilifu katika maeneo yenye uwezekano mkubwa wa ushindi, huku kikiimarisha ushawishi wake katika siasa za kitaifa.
Aligombea na lissu kama makamu, kugombea urais sasahiv inaonyesha kuzidi kupanda.Kwann salum mwalimu asiende kugombea pia kwao au hakubaliki
hao ni pro-ccm, Wananchi msidanganyike na hao matapeliChama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania na nafasi za ubunge nchini kote.
Uamuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Agosti 24, 2025 jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Benson Kigaila kuwa ni sehemu ya mkakati wa chama kujipanga kikamilifu katika maeneo yenye uwezekano mkubwa wa ushindi, huku kikiimarisha ushawishi wake katika siasa za kitaifa.
View attachment 3451911