Pre GE2025 CHAUMMA kugawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure

Pre GE2025 CHAUMMA kugawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa Mtaa wa Soko.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbali na kufanya mkutano huo, Hashimu Rungwe atagawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure.

 
Back
Top Bottom