Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Feb 21, 2025 #1 Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa Mtaa wa Soko. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mbali na kufanya mkutano huo, Hashimu Rungwe atagawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure. Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa Mtaa wa Soko. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mbali na kufanya mkutano huo, Hashimu Rungwe atagawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure. Your browser is not able to display this video.