Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tarehe 31/08/2025 Kinatarajia Kuzindua Kampeni za Mgombea Urais Kupitia CHAUMMA Katika Viwanja Vya Kinondoni Biafra Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa umma wa CHAUMMA, John Mrema amebainisha hayo kwenye taarifa aliyoitoa kwenye ukurasa rasmi wa chama hicho akiwaalika wanachama wa CHAUMMA kujitokeza katika viwanja vya Biafra, wilaya ya Kinondoni.
Right caption ni kuwa CCM B kuzindua kampeni KinondoniChama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tarehe 31/08/2025 Kinatarajia Kuzindua Kampeni za Mgombea Urais Kupitia CHAUMMA Katika Viwanja Vya Kinondoni Biafra Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa umma wa CHAUMMA, John Mrema amebainisha hayo kwenye taarifa aliyoitoa kwenye ukurasa rasmi wa chama hicho akiwaalika wanachama wa CHAUMMA kujitokeza katika viwanja vya Biafra, wilaya ya Kinondoni.
Uzinduzi wa tawi laccmKumekucha kumekucha..... Mwalimu anaanza kazi.
Mgombea urais wa chauma ni mpigania haki tangu akiwa Umbwe Secondary kiasi kwamba aliwahi kufukuzwa shule enzi ya mwalimu Mkuu Mzee Msele(R.I.P)
Chadema ndio tawi la CCM, ilishapokea wana CCM wengi sana wakagombea ubunge na urais kisha wakarudi CCMUzinduzi wa tawi laccm
Kwann hawakuunganisha uzinduzi wao siku ile ile ya ccm A pale Kawe?Right caption ni kuwa CCM B kuzindua kampeni Kinondoni
Watajibu waoKwann hawakuunganisha uzinduzi wao siku ile ile ya ccm A pale Kawe?