Tetesi: GE2025 CHAUMMA wahaha kusaka Mgombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huwa unatoa wapi hivi vichekesho???
 
Chama cha mama si wanaye mrema kwa nini wanaumiza kichwa 😀 😀
 
Mgombea wao kapima kina cha maji kaingia mitini
 
Waende tu na Mzee wa Ubwabwa! Wasiwasi wangu kwenye mikutano yao wataishia kuzomewa.
 
Wampe Joni au bensoni
 
Kama waliishiwa hela ya mafuta ya Edikopta unadhani wanaweza kuendelea tena,wampe sasa mkuu Kigaila agombee mana hata mzee Spunda hawezi kukubali
 
Waende kwa shibuda
 
Wakimteua Titus Nkuma kugombea urais, asiende Tanga hususan wilaya za Lushoto, Korogwe, Mkinga na Muheza kuomba kura.
 
Wamteue mtu anayekula ubwabwa wa maharage kwa umahiri awe mgombea wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…