A very bad moveKwann ni chauma na sio NCCR MAGEUZI
Kwann ni chauma na sio NCCR MAGEUZI
Kwa status ya Mrema amernda mahali sahihiA very bad move
soon chauma`s system will read encountered error #0055Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Waache wapigwe pilau mpaka masikioni, ndio akili zao zimekomea hapo. NOVEMBER tutaona CCM kama itaendelea kuwagawia ngawira wahuni hawaWakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Upon huku tayari kuwashughulikia wachaga?Mixer ya Waha na Wachaga
Patamu hapo ππ
Haya waanze kupanda daladala kwanzia leoπWakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Watani zanguUpon huku tayari kuwashughulikia wachaga?
Walikufanya nini?
Dah, hatariWakati mshaambiwa magari mapya yashapelekwa huko?ππ