NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Lilikua ni Jambo la mudaaa...watu wamepewa ulinzi...mpaka apartment huko kwa wazitooo...ushuani.Hii ilivuja mapeeeema. Mpango wa State huu
Mbona Lisu na Lema walitoka TLP wakapatia ubunge Chadema!!?waacheni watu waamue wenyewe.Vipande vya pesa hivyo. Yaani mpaka huruma. Bora kuishi bila chama.
Kama kuingizwa Choo cha jinsia tofauti ndiyo huku.
mzee wa ubwabwa anatizama anajuta kwanini hawa warembo wamemjia jioni uzeeniCathe na mashavu Yale akianza kula ubwabwa siyatapasuka aisee
Hakuna kuzeeka maini.mzee wa ubwabwa anatizama anajuta kwanini hawa warembo wamemjia jioni uzeeni
Chauma ni less toxic,nccr ni TISS ile sio mchezo mchezo mchezo!!halafu udugu wa kiislam lazima umfaidishe muislam mwenzetu Hashim Rungwe Ili walambe Ruzuku!!Kwann ni chauma na sio NCCR MAGEUZI
Hapana ni watano.Wamefika 55?
😂😂Hizo camera ni za minja kipindi anaanza kazi maana sio kwa video hii
Simameni jamani mpige makofi huh sio msiba😂😂😂Wakuu,
CHAUMMA inapokea wanachama wapya wakati huu kutoka G55
Catherine Ruge, Mrema na wengine baada ya kupewa kadi ya uanachama wa CHAUMMA na kuwa wanachama rasmi wa chama hicho, waandishi wa habari wametoka nje kuwapisha CHAUMMA kufanya kikao cha ndani.
Na wakurya,huyu aliyekuwa BAWACHAMixer ya Waha na Wachaga
Patamu hapo 😂😂
kumbeKila walipoulizwa muelekeo wao,wakapata kigugumizi.Kumbe walitaka usidoee ubwabwa kwa Mzee Rungwe!
Hahaha,kwani meno haiko tenamzee wa ubwabwa anatizama anajuta kwanini hawa warembo wamemjia jioni uzeeni