Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Hamjambo wanaJF,
Hili neno chawa au Machawa Huwa najiuliza maswali mengi bila majibu!Nikiwa Mtanzania Mwenye afya ya akili timamu huwa najiuliza sana, mtu anawezaje kujiita au kuitwa Chawa!Nikiwa mdogo mwaka 1985Nilikuwa na miaka kumi na Tano
Nilibahatika kukaa na Babu na Bibi yangu huko Mbeya_Mwakaleli wilaya ya Rungwe kwa wakati huo kwa sasa ni wilaya ya Busokelo. Babu na Bibi yangu walinisii sana niwe msafi, nifue nguo, nioge mara kwa mara pamoja na baridi Kali ya huko ili nisije kupata Chawa!
Sasa huu msemo wa mtu au watu kuitwa Chawa au Machawa!Hii Ndio Nini Sasa !maana chawa ni wadudu mazalia ya uchafu wa nguo na mwili uliopitiliza!,Chawa(Machawa)wa Mbunge, Waziri! kweli chawa HAPANA!