Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 18, 2025 #1 Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Dec 18, 2025 #2 Hajaiona Trump hio amshukie na maban ya kutosha..?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Dec 18, 2025 #3 Fbn said: Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na raisi wa marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. kuwekea kikwazo na marekani sababu ya udanganyifu na mauwaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.View attachment 3516978 Click to expand... halafu kuna wale vijana mamluki wa kile chama chenu cha waropokaji wanaolelewa pale nairobi na yule mbibi mwenye mashavu kama bodi ya bajaji, mbona siku hizi hawatengenezi tena artworks za porojo za oct.29? au uzushi umewaishia?
Fbn said: Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na raisi wa marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. kuwekea kikwazo na marekani sababu ya udanganyifu na mauwaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.View attachment 3516978 Click to expand... halafu kuna wale vijana mamluki wa kile chama chenu cha waropokaji wanaolelewa pale nairobi na yule mbibi mwenye mashavu kama bodi ya bajaji, mbona siku hizi hawatengenezi tena artworks za porojo za oct.29? au uzushi umewaishia?
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Dec 18, 2025 #4 Unaongelea hawa machawa viazi pumpkin heads machawa promax buku7 from lumumba street!
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Dec 18, 2025 #5 Sijaelewa, kwamba kuna watu walisema amekutana na Trump au?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Dec 18, 2025 #6 Acha waendelee kujipitisha barabarani na mizigo yao.