Sheria ifuatwe, Mwijaku alipe kodiNikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣
TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo.
Mwijaku baada ya kupata taarifa hiyo akatoa povu. Hajaamini macho yake.
TRA nyoosheni hivyohivyo, hakuna kucheka na wowoteView attachment 3247954
Tusitegeane kulipa kodi TRA wekeni utaratibu mzuri wa kukusanya kodi kwa madalali,wasanii,wabunifu.
Kulipa kodi ni wajibu sio adhabu.
Pamoja tunajenga taifa Letu