Chawa mwandamizi wa Ibrah Traore apewa passport mpya ya Burkina Faso

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso.

Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?

 
Usiamini kila unachokiona.... Alafu hao chawa wa Burkinafaso hata wakimsifia utaelewa nini?
 
Haki yake kijana anapambana sana kujenga sura nzuri za Africa na waafrika kote duniani ikiwemo Tanzania .Basi yeye pia ni Chawa wa Tanzania pia kama hujui Ni mtu anapenda Afrika na kueleza mazuri ya Afrika. Hapa akiwa Tanzania


View: https://youtu.be/3DJGACoI2Sg?si=Qgc6YDSFwLIyXIGV
 
Kwa nini?
Wewe mleta mada mjinga tu huoni kizuri kwa waafrika na viongozi wa Africa unaangalia tu kwa jicho la mkoloni mzungu tu

Wode Maya yeye kajikita kwenye mazuri yaliyoko Africa na mazuri ya waafrika wawe viongozi au la popote walipo duniani

Ndio maana huzunguka dunia nzima kuangalia mazuri ya waafrika tofauti na wewe mdharau waafrika wenzio na kusifia wazungu hata wakijamba wewe ndio unasema sorry badala ya wao
 
...ngoja arudi

...ila hiyo☝🏿🔥 "wakijamba" ndie anayesema thorry badala ya wao😂😅

...reaction ya yangu ya kwanza tu, nimeangua kicheko, nilikuwa nafikiria kujibu kama hivyo sema wewe umeniwahi...

...yani mahaba yake yamepitiliza, hasikii wala haoni, a true definition of a bigot.
 
Doto magari wa Traore
 
Huyu dogo huwe anasifika nchi zote za Africa
 
Soon atapewa ya Bongo kwa vile chawa wote duniani ni wa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…