Pre GE2025 Chawa na Samia Challenge, kuna kitu chawa wanaweza zaidi ya kujipendekeza?

Pre GE2025 Chawa na Samia Challenge, kuna kitu chawa wanaweza zaidi ya kujipendekeza?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kwenye hii challenge walitakiwa kusema Rais Samia kazailiwa lini. Pale ambako hata yule wanayemuita mjumbe maalum wa Ikulu kachemka, ila wanasema mama kafanya, kile, na hiki.

Ni kwasababu wapo kama kaseti, wananywesha takataka wanazimeza kama zilivyo na kazi yao ni kutema tu. Ukiuliza kitu nje ya script hawawezi kujibu.

Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hawa vichwa vyao ni kama mabeseni tupu, bila kumezeshwa mambo hakuna kitu wanaweza fanya. Hata ukute kuna watu hawajui kusoma na kuandika hapo. Ila kwa Samia wakwanza na vichwa vyao vitupu kusema mama anatosha!



 
Back
Top Bottom