figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hawa mbona wapo wengi humu JF; na kilA siku tunawakumbusha uhayawani wanaolifanyia taifa hili.Kuna ndugu yangu ni chawa wa CCM(Jina Kapuni) Nilimfungia safari kuuliza kwanini anaunga mkono CCM na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ambaye Mdomo waake haukemei Mauaji wala hajali anaowaongoza wakipotea? Nilienda Iringa kwa Ukali sana. Nia ni tuvunje urafiki na kumblock hadi kwenye memory card. Nikaona nisifanye hivyo biila kumsikiliza.
Akanambia anapost tu apate mkate wake wa kila siku. Kasema vile anavyopost ameandikiwa wala siyo yeye. Aliungwa kwenye Group na kila siku wanapewa hela ya bando na posho. Akasema anamaliza kujenga nyumba. Pia akasema asipopost wenzake watapost tu.
So kasema njaa njaa zake ndo zinamfanya afanye hivyo. Pia mama yake anaumwa hakuna aliyemsaidia kumtibia bali hela za Uchawa.
Ila hapendi Uchawa. Kaomba nimsamehe nisivunje urafiki.. Hata kadi ya chama bado anayo mwaka huu kalipia kabisa Platinum. Kasema anaomba amuokoe mama yake.
Je, nimsamehe na nimuache aendelee kula hela za uchawa? Au Nimle ulimi?
Nilienda Iringa kwa Ukali sana
chawa wa CCM(Jina Kapuni)
Pia mama yake anaumwa hakuna aliyemsaidia kumtibia bali hela za Uchawa
Je, nimsamehe na nimuache aendelee kula hela za uchawa? Au Nimle ulimi?
MadamHadi hapa umetaka tu kusema kuwapwi
Yeye anakuhusu nini hata Mama yake haujamsaidia matibabu?
Umemkuta anafanya yake.. utamfanya nini nae ni maisha yake kwa sasa... wivu.com au?
Ndicho kimenisukuma niandike...
Madam
Sijaelewa tena madamHey hey
Ushanivuruga tayari🤣🤣Hadi hapa umetaka tu kusema kuwapwi
Yeye anakuhusu nini hata Mama yake haujamsaidia matibabu?
Umemkuta anafanya yake.. utamfanya nini nae ni maisha yake kwa sasa... wivu.com au?
Ndicho kimenisukuma niandike...
Madam
Sasa figganigga anaenda mchamba mtu (NDUGU) maswali kama ana mmiliki, halafu hajamsaidia Mama yake anavyougua hata senti moja.. haya kayaandika mwenyewe.. ndio nikamnukuu pale nimetaka ajisome na kumwanika nduguye.Sijaelewa tena madam
Inaniuma
Anakuwinda usiingie mtegoniKuna ndugu yangu ni chawa wa CCM(Jina Kapuni) Nilimfungia safari kuuliza kwanini anaunga mkono CCM na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ambaye Mdomo waake haukemei Mauaji wala hajali anaowaongoza wakipotea? Nilienda Iringa kwa Ukali sana. Nia ni tuvunje urafiki na kumblock hadi kwenye memory card. Nikaona nisifanye hivyo biila kumsikiliza.
Akanambia anapost tu apate mkate wake wa kila siku. Kasema vile anavyopost ameandikiwa wala siyo yeye. Aliungwa kwenye Group na kila siku wanapewa hela ya bando na posho. Akasema anamaliza kujenga nyumba. Pia akasema asipopost wenzake watapost tu.
So kasema njaa njaa zake ndo zinamfanya afanye hivyo. Pia mama yake anaumwa hakuna aliyemsaidia kumtibia bali hela za Uchawa.
Ila hapendi Uchawa. Kaomba nimsamehe nisivunje urafiki.. Hata kadi ya chama bado anayo mwaka huu kalipia kabisa Platinum. Kasema anaomba amuokoe mama yake.
Je, nimsamehe na nimuache aendelee kula hela za uchawa? Au Nimle ulimi?
Utajua wewe na yeye sasa,ila chakujua hawa majambazi lazima yatufanye maskini kwanza ili mipango yao ya kulifilisi taifa ifanikiwe.Uskute ni Luka mshabwe