Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 2,536 Reaction score 7,194 Jan 10, 2025 #1 Wakuu, Huyu Michael Msechu kwa sasa ametua Zanzibar ili kuhamasisha wananchi kusheherekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Akiwa huko ameandaa, msafara wa bodaboda barabarani ili kuhamasisha sherehe hizo. Soma pia: Mhamasishaji Peter Msechu aanza ziara visiwani Zanzibar kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Swali: Hivi CHADEMA wanaweza kufanya hivi? Au ndo wataambiwa "wanazua taharuki" Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Huyu Michael Msechu kwa sasa ametua Zanzibar ili kuhamasisha wananchi kusheherekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Akiwa huko ameandaa, msafara wa bodaboda barabarani ili kuhamasisha sherehe hizo. Soma pia: Mhamasishaji Peter Msechu aanza ziara visiwani Zanzibar kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar Swali: Hivi CHADEMA wanaweza kufanya hivi? Au ndo wataambiwa "wanazua taharuki" Your browser is not able to display this video.