Nadhani ingekuwa vema kama mngekuwa chawa wa nchi badala ya mtu. Kwasabb mtu anapita tu ktk hiyo nafasi, lkn nchi ikiharibika hatuna pa kukimbilia. Si mnaiona mifano ya Ukraine na Palestine (pale Gaza)?
Tusimame imara ktk kutete nchi yetu kwa kuwakosoa viongozi wenye mwenendo mbaya ktk madaraka yao. Tuachane na tabia ya kutibu njaa ya siku moja ama njaa ya kizzazi chetu, tutibu njaa ya Sasa na ya kizazi kijacho.
Machawa wote hovyo kabisa!