Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Kifungu cha hii imani tukufu:
2) Kila mtu astahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake....".
Chawa hawa ni wazalendo wa kuigwa kwa kuiendeleza imani hiyo na tunu za taifa letu.
Rais ni nembo yetu, urais ni TUNU yetu.Tunapoheshimiana utu wetu huku mitaani tuubague UTU na heshima ya Rais wetu?
Jibu ni hapana....
Je kumheshimu Rais hakuhusishi kutambua mazuri yake anayotufanyia wananchi?
Je kuuthamini UTU wa Rais wetu hakuhusishi KUYASEMEA MAZURI YAKE?
Mathalani haya mazuri ya kuihusisha "PPP" katika miradi mikubwa ambako huko nyuma hakukuwa na hili.Je tubeze na kulaumu tu?
Nawasifu CHAWA wa marais wetu kwa kuwa imara kama wale vijana wa komredi Mao Tse Tung na CCP juu ya kipindi kile cha "vita virefu".
Chawa wanaimarisha UMOJA, UPENDO, MSHIKAMANO katika malengo yetu ya Tanzania yenye AMANI, UTULIVU NA USALAMA.
HITIMISHO:
Tanzania ni taifa la kipekee (ujamaa wa kiafrika) lenye vijana JEURI (wanaoendeleza hiyo imani nambari 2.hapo juu) na miongoni mwa MAJEURI hawa ni hawa MACHAWA waliofika salama huko Zanzibar..
Niwatakie mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, amen!
JMT milele dumu kivyovyote iwavyo!!