Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 242
- 1,141
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya.
Aidha, amewaomba kuendelea kuyasema yale mema na mazuri yanayofanywa na Rais Samia pamoja na Rais Mwinyi ili yaeleweke kwa watu.
Amewaomba wafanye kazi hiyo kwa umakini na kuwashirikisha wahusika na wamepongezwa kwa kukubali kuunga mkono juhudi za Serikali.
Pia soma: Pre GE2025 - PICHA: Machawa wa ankali (Dkt. Mwinyi) na Generation Samia (GEN S) washirikiana kuandaa Pilau Day Zanzibar
Tabia ya uchawa naona imekita mizizi, sasa imegeuka kuwa kazi rasmi.