CHAWA wanapo-muimbia Malkia na kumpa utukufu!

CHAWA wanapo-muimbia Malkia na kumpa utukufu!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Mnamo mwaka aliofariki mfalme Uzia[2021], nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi kilicho juu na cha fahari. Pindo la vazi lake lilienea hekaluni mote, na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia. 3 Waliitana kila mmoja na mwenzake hivi:

“Mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu,
ni Mwenyezi-Mungu wa majeshi!
Dunia yote imejaa utukufu wake.
 
Muacheni huyo dada atulie huko alipo, hatutaki akumbwe na kashfa kama za waimbaji wenzake zilizowakumba kuharibu ndoa zao
 
Back
Top Bottom