Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kama Taifa hasara ya kuwasikiliza chawa ni ipi!?Njaa! Afya ya akili!
System yote serikalini, mashirika ya umma ni uchawa kwenda mbele! Hatuna mbadala! Tumeishakwama! We need total System overhaul!Kama Taifa hasara ya kuwasikiliza chawa ni ipi!?
Njaa imehamia KichwaniTatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama.
Mahakama ikikutana na CCM inakuwa mbendembende. Vyombo vya habari vikiiona CCM vinapatwa na mchecheto...
Kaka uchawa ni janga la Taifa.. kibaya zaidi vijana wengi kama si wote wa media zetu ni machawa wa watawala.Tatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama...
Kwa hapa tulipo yatupasa tufanye mawiliTatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama.
Mahakama ikikutana na CCM inakuwa mbendembende. Vyombo vya habari vikiiona CCM vinapatwa na mchecheto...
Ha ha ha haKwa hapa tulipo yatupasa tufanye mawili
i) Tuwe chawa wote
ii) Tukinukishe kama majirani zetu
Haya ndiyo ma vijana ya hovyo kabisa katika nchi. Mwalimu alilijenga Taifa hili ili liwe chimbuko la kuhoji why & how.. hasa kwa vijana.Mwijaku ameomba Kozi ya Uchawa itolewe pale Chuo Cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama 😃
Ha ha ha ha
Mzee, kwa Taifa hili option ni moja tu - wote tuwe machawa ili tupate mkate wetu wa kila siku kutoka kwa watawala.
Hamna namna nyingime mzee wangu, uzezeta ni mkubwa usio na
Tukichaguwa kuwa chawa wote, watawala watashindwa wampe nani wamwache nani, hapo sasa ndo hata machawa wataona uchawa siyo dili tena, wataamua kusimamia ukweliHa ha ha ha
Mzee, kwa Taifa hili option ni moja tu - wote tuwe machawa ili tupate mkate wetu wa kila siku kutoka kwa watawala.
Hamna namna nyingime mzee wangu, uzezeta ni mkubwa usio na mfano.
Ha ha haTukichaguwa kuwa chawa wote, watawala watashindwa wampe nani wamwache nani, hapo sasa ndo hata machawa wataona uchawa siyo dili tena, wataamua kusimamia ukweli
Kwa sababu uwezo kwa kufikiri na kuchanganua mambo kwa viongozi wetu umekuwa mdogo mno, wenye upeo mpana wameamua kukaa pembeni hata kama wengine wapo serikalini ili waone kitakacho tokea.Tatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama.
Mahakama ikikutana na CCM inakuwa mbendembende. Vyombo vya habari vikiiona CCM vinapatwa na mchecheto...
Tuandae mazoea mengine tuzae tabia ya kutokuwa na machawa.Mazoea yamezaa tabia tayari,hatuna cha kufanya tena.
kama viumbe hai wanakaa kwenye uchafu.Tatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama.
Mahakama ikikutana na CCM inakuwa mbendembende. Vyombo vya habari vikiiona CCM vinapatwa na mchecheto..
Matokeo yake nchi sasa washauri wakuu wa viongozi wetu ni watu wa hovyo hovyo wanaoitwa "chawa"
Na bahati mbaya sana hao chawa mpaka watu wazima na wasomi nao wamekuwa chawa.
Lakini imekuwaje watu wa maana wameacha kuwa washauri wa viongozi wetu badala yake chawa ndiyo wameshika usukani!!?