Chawa wapandisha site fake kwa niaba ya CHADEMA

Binafsi sijaelewa.
 
Jee Chadema wame patent neno Chadema?. Kama wamepatent then they go forward
Mkuu, Pasco wewe umesomea sheria hivi kweli kwenye intellectual property rights unaweza ukapata patent ya jina ? Are you serious ? ninaanza kupata mashaka na taaluma yako😳
 
Hali wengine wakivuta "Cha Arusha"

Wengine wanafuga "Chawa"

Wananchi wanabaki kuuliza, mpoje? Nani 'Mwendawazimu'? Kati yenu.

Je wenye hoja wana hoja au ni madongo? (uhasama)?

Je, na wenye kujibu hoja wanajibu kwa hoja au ni "childish propaganda" (kutifuana, matusi na kejeli)?

Ikibidi vyama vyote vikose kura tuwachague aina ya 'Ndugai'

CHADEMA acheni, bangeee ya 'Cha Arusha'
CCM mjikoshe, mnafuga 'chawa'!

ni 'Uwendawazimu'

Kitaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…