Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Leo nilipanda daladala nikakaa na demu nyuma kule, wakati anashuka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza dada vipi unanikanyaga?? Akanipa bonge la moja la sonyo then akasema "Nilidhani bubu mbona muda wote tumekaa hata namba yangu haujaomba"! Bado nawaza.🤔