johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema mkoa wa DSM una Mitaa 636 na Wagombea wa Chadema 571 wamekatwa na kubaki 45 tu
Watanzania Kwa Umoja wenu mnaombwa kuiombea Chadema
Boniface Jacob amesema ukurasani X
Baadae Mlale unono 🤣huku Mkimkumbuka Shujaa 😂
----
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tu
Dar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tu
Watendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua wagombea wa CHADEMA.
Wagombea wachache walioachwa bila kuenguliwa, kuna mkakati wa kuwaondoa wote kupitia mapingamizi.
Wagombea wa CCM wamepewa maelekezo ya kuwawekea mapingamizi wagombea hao wachache wa CHADEMA ili CCM wabaki pekee yao kwa 100%.
Kazi hii inafanywa na wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya (DC) na Wakuu wa Usalama wa Taifa (DSO) wa Wilaya zote za Dar es Salaam
Haya ni majaribu makubwa lakini tutayashinda na Dar es salaam itaenda kuandika historia ya kutetea na kuhami Demokrasia.
Tutapambana mapambano ambayo hayajawahi kutokea,Mimi nitaongoza mapambano haya.
Boniface Jacob
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani.