Che Fondoh Malone, ukuta wa Jericko, mtu kazi ama electrical fence

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Huyu jamaa aisee, amenikumbusha mbali sana, sijui Victor Costa, sijui Aston Pardon, sijui Juma Limonga, sijui marehemu Nico Bambaga, sijui George Masatu, sijui Frank Kassanga Bwalya, sijui Patrick Betwel, siju Boniface Pawasa, sijui Deo Njohole, sijui Mustafa Hoza, sijui Amri Said, sijui Julio aliemkab Majid Musisi, sijui Godwin Aswile.

Che Fondoh Malone ama electrical fence.


 
Jamaa ni mtulivu, anajiamini ,ana skills hatumii nguvu, Inonga akipona tutakuwa na ukuta imara sana kazi kwa viungo na washambuliaji
 
Shida ya simba ni viungo. Wanapwaya sana moves zote zinapotelea hapo katikati.

Wanapokonywa sana mpira
 
amezaliwa kwaajili ya ulinzi.
sema wenzake wengi vibonde nguvu hawana wanamchosha sana
mikisoni sijui bado Ana kitete gani?wachezaji wasimba wengi mdebwedo sijui wanapewa mazoezi yaaina gani

Mimi Simba ila anae sajili yanga anajicho pana sana wachezaji wana nguvu vizuri sana.mfano yaoyao kama huna nguvu humsumbui hata kidogo maamae☹️yupo fiti

hawa wanyonge wetu sijui wanawatoaga wapi faiting hawana kabisa kidogo mzamiru na kibu wanajitahidi.chemalon yupo fiti angeenda yanga yule tunge taabika sana

kwenye ligi sijaona Tim yakutoa droo na yanga zaidi yakuchezea kichapo maana dah wapo vyedi sana.
 
Umeona kama mm huyu jamaa yuko fit sana said ya wachezaji wore wa simba, yaani wachazaji wetu wengi nguvu hamna midebwedo kinoma
 
Che Malon Fondoh ni beki kitasa haswaa huwezi kuwa na shaka na ubora wake huyu kweli ni MVP huko alipotoka
 
Lazima huyu jamaa nimwandike kwenye uzi wangu wa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…