Che Malone awaomba radhi Wanasimba

Che Malone awaomba radhi Wanasimba

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Malone ameandika:

"Ningependa kuomba radhi kwa familia nzima ya Simba kwa kuwagharimu sana katika siku mbili za michezo. Nachukua jukumu kamili kwa makosa yangu naahidi kufanya kazi kwa bidii ili niwe bora zaidi katika siku zijazo.
Pole sana. Asante Simba.
Asante mashabiki kwa kunitia moyo kila wakati licha ya kukatisha tamaa kwangu."

Malone.png
 
Che Malone a.k.a Maguire
 
Che Malone anafikirisha sana. Bado naamini ni beki mzuri na hafanyi makosa kabisa akiwa anakaba na mipira mingi ya 1 on 1 huwa anaishinda. Anakuja kufanya makosa akiwa yeye ana mpira na tena siyo mazingira unayoweza kusema yenye pressure. Ile pasi ya jana hai make sense.

Nimemuangalia kwa makini msimu huu akiwa nje ya uwanja, body language yake inaonyesha si mtu mwenye furaha. Sijui tatizo ni nini.
 
ni mzembe sana kwenye mambo ya msingi, akiendelea hivyo atakuwa hana faida kwa wanasiimba.
 
Wanasimba tumemsamehe.kikubwa azingatie asipende sana pasi za nyuma Huku adui akiwa karibu
 
Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Malone ameandika:

"Ningependa kuomba radhi kwa familia nzima ya Simba kwa kuwagharimu sana katika siku mbili za michezo. Nachukua jukumu kamili kwa makosa yangu naahidi kufanya kazi kwa bidii ili niwe bora zaidi katika siku zijazo.
Pole sana. Asante Simba.
Asante mashabiki kwa kunitia moyo kila wakati licha ya kukatisha tamaa kwangu."

Mtakuwa mnaomba misamaha kila siku.

.......
 
Kama ametambua makosa yake ni hatua nzuri ya kujirekebisha.
 
Siungani na huo utaratibu wa kipuuzi ambao unataka kuanzishwa. Yani mtu afanye makosa ya kiutendaji wakati wa kutekeleza majukumu yake ya msingi , then aje aombe radhi kwa maandishi. kwahiyo itakuwa kila goli likifungwa tunatafuta nani kasababisha ili nae aje atuombe radhi. kitu cha msingi aongee na benchi la ufundi, kisha abadilike kimyakimya.
 
Kuomba radhi ni uungwana mkuu. Sio mbaya japo upo sahihi kuhusu kufanyia kazi makosa yake.
 
Ajifunze kutokupasia mipira kuelekea kwenye goli lake (back pas) haziwezi
 
Siungani na huo utaratibu wa kipuuzi ambao unataka kuanzishwa. Yani mtu afanye makosa ya kiutendaji wakati wa kutekeleza majukumu yake ya msingi , then aje aombe radhi kwa maandishi. kwahiyo itakuwa kila goli likifungwa tunatafuta nani kasababisha ili nae aje atuombe radhi. kitu cha msingi aongee na benchi la ufundi, kisha abadilike kimyakimya.
Hata hilo ni sawa..kwani analichezea benchi peke ake??
Sisi ndo wadau wake nambari moko
 
Che Malone anafikirisha sana. Bado naamini ni beki mzuri na hafanyi makosa kabisa akiwa anakaba na mipira mingi ya 1 on 1 huwa anaishinda. Anakuja kufanya makosa akiwa yeye ana mpira na tena siyo mazingira unayoweza kusema yenye pressure. Ile pasi ya jana hai make sense.

Nimemuangalia kwa makini msimu huu akiwa nje ya uwanja, body language yake inaonyesha si mtu mwenye furaha. Sijui tatizo ni nini.
Maandazi na miharage kila siku inamchosha che guevara maloon
 
Che Malone afanyie kazi kigugumizi cha miguu yake la sivyo hayo maboko yatakuwa endelevu.
 
Angekuwa sio wa kigeni angekula bench mpaka ashangae. Huyu atafutwe mbadala tu, huwezi kuwa unachomesha kila leo
 
Huyu bwana itakuwa Inonga alishamlisha sumu, itakuwa naye ana ndoto za kwenda Afrika Kaskazini kwa hiyo anatafuta njia auzwe. Inonga hadi alimfanya naye aanze kujichubua.
 
Nina imani mwalimu anaona, hivyo alifanyie kazi tatizo la chemalone kabla ya kuleta madhara kwa timu. Hatua inayofuata ni ya mtoano inahitaji walinzi makini.
 
Huyu bwana itakuwa Inonga alishamlisha sumu, itakuwa naye ana ndoto za kwenda Afrika Kaskazini kwa hiyo anatafuta njia auzwe. Inonga hadi alimfanya naye aanze kujichubua.
Hv itokee vle ktk mechi ya watani...c atamezwa mzma mzma huyu kiumbe?????
 
Back
Top Bottom