Cheap Cars- Magari bei rahisi hayo (Rav 4, GX110, Gx100, Vitz, Toyota Hilux)

Networker yaingize kupatana.com unaweza pata deal.
 
Natafuta rav 4 milango mitano budget 6m
 
Kuna mwenye rav 4 milango mitano?
 
Jamani wakuu mimi ninashida na Hilux, iwe single au double cabin, bajeti millioni kumi iwe katika hali nzuri lakini
 
Natafuta Vitz au any economy & reliable japanese car for 3M jameni!!
 
Hiyo post ni ya mwaka 2012 someni vizuri
 
Zilikua bei za JK. Kwa sasa usinge uza kitu hapo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…