Cheap universities in india and malaysia

Cheap universities in india and malaysia

Click_and_go

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
451
Reaction score
6
Hello wanajamii, naomba kujua kama kuna mwanajamii anayefahamu vyuo ambavyo vina karo ya kawaida nchini India na Malaysia vinavyotoa degree ya course ya computer science.
Thanks in advance.
 
do you want something good or just cheap?do you want Bsc in Computer Science or B.E in Computer Science Engineering?
nianze na hapo mengine nitakuja baadae.
 
Hello wanajamii, naomba kujua kama kuna mwanajamii anayefahamu vyuo ambavyo vina karo ya kawaida nchini India na Malaysia vinavyotoa degree ya course ya computer science.
Thanks in advance.

malaysia living expenses, school fees vipo juu sana hapakufai [kuna vyuo vya ukweli na vya kihuni]. Jaribu india wapo chini sana in terms of fees+living exp ila hii ni kwa vyuo vya vijijini vya quality ya chini ambapo kwangu mimi sioni tofauti sana na tz,vyuo vizuri vipo bombay eg IIT ila bei utakimbia

ANGALIZO: agents wasikudanganye bei zipo chini wakati wao wenyewe hawajawai kuishi nchi hizo na huwa wanawaambia watu fees let say $7000 malaysia halafu mtoto akifika shule wanampa OC mpaka fees inafikia $9000 na Living expenses per month $150 ukifika unakuta $250 exclude accommodation
 
Cheap is expensive and expensive is cheap
 
computer science ya india na malysia wamespecilize kuna bachelor of computer science in software eng, mobile technology,games media , telecommunication so we una specialize kwenye kitu gani na chuo kizuli ni india instute of technology ......na na bei yake kama laki sita za kibongbongo
 
naomba ufafanuzi kidogo hapo mkuu.
 
do you want something good or just cheap?do you want Bsc in Computer Science or B.E in Computer Science Engineering?
nianze na hapo mengine nitakuja baadae.

i want something good but cheap, averagely affordable, Bsc In computer science.
 
i want something good but cheap, averagely affordable, Bsc In computer science.
for Bsc in Computer Science Jaribu Madras University Chennai or University of Pune.....Fees inaenda US $ 1000- 1800...ila maisha kila mwezi inabidi mwanafunzi apewe U .S $ 250...bado ticket ya kwenda na kurudi Tanzania muda wa likizo, utakuta kwa mwaka unatumia kama U.S $ 4000/= ,kwa miaka mitatu haitapungua U .S $ 12,000/=...si bora asome IFM,UDOM,IAA.
 
Exposure!
 
Kwa nini usisome UDSM ama ukaenda Makerere kwa hiyo course ni wazuri tu na wanatambulika kimataifa.
Kama unataka uambiwe ulmesoma nje bila kujali std ya chuo endelea na kutafuta vyuo vya bei chee vya nje.

Siku hizi waajiri wameshafunguka kwenda kusoma nje sio kigezo kuwa wewe utapewa nafasi zaidi ya wengine waliosoma hapo Bongo.Suala la msingi umesoma wapi(chuo kipo kwenye rank ya vyuo bora vinavyotambulika?).Wapo vijana kibao walikimbilia UK wakaenda kusoma vyuo vya kisanii MBA wamerudi wakifikiri watakuwa mameneja matokeo yake wanahesabu hela kwenye Counter za NMB kama vijana wa CBE ,IFM nk..
So Be very careful
 
Back
Top Bottom