Click_and_go
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 451
- 6
Hello wanajamii, naomba kujua kama kuna mwanajamii anayefahamu vyuo ambavyo vina karo ya kawaida nchini India na Malaysia vinavyotoa degree ya course ya computer science.
Thanks in advance.
computer science ya india na malysia wamespecilize kuna bachelor of computer science in software eng, mobile technology,games media , telecommunication so we una specialize kwenye kitu gani na chuo kizuli ni india instute of technology ......na na bei yake kama laki sita za kibongbongo
do you want something good or just cheap?do you want Bsc in Computer Science or B.E in Computer Science Engineering?
nianze na hapo mengine nitakuja baadae.
for Bsc in Computer Science Jaribu Madras University Chennai or University of Pune.....Fees inaenda US $ 1000- 1800...ila maisha kila mwezi inabidi mwanafunzi apewe U .S $ 250...bado ticket ya kwenda na kurudi Tanzania muda wa likizo, utakuta kwa mwaka unatumia kama U.S $ 4000/= ,kwa miaka mitatu haitapungua U .S $ 12,000/=...si bora asome IFM,UDOM,IAA.i want something good but cheap, averagely affordable, Bsc In computer science.
Exposure!for Bsc in Computer Science Jaribu Madras University Chennai or University of Pune.....Fees inaenda US $ 1000- 1800...ila maisha kila mwezi inabidi mwanafunzi apewe U .S $ 250...bado ticket ya kwenda na kurudi Tanzania muda wa likizo, utakuta kwa mwaka unatumia kama U.S $ 4000/= ,kwa miaka mitatu haitapungua U .S $ 12,000/=...si bora asome IFM,UDOM,IAA.
Cheap is expensive and expensive is cheap