'Cheating', husababishwa na...

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...Low self-esteem!

...Katika maisha ya mapenzi na ndoa mjihadhari sana na masimango ambayo yatampelekea mtu ajione kumbe yeye si lolote si chochote kwako.

...mtu aliye suffer low-self esteem kwa muda mrefu, 'akibahatika' kupata mtu atayemwambia ujumbe 'otherwise,' ndio mwanzo wa kuanza mahusiano ya kuibia ili naye ajiskie mtu!

Jadili.
 
Mapenzi huwa yanamatatizo sana hasa hizi zama za kitovu cha mapezi na uwezo wa kiuchumi. Ulichosema ni sahihi kabisa amani na utulivu ina mkonDo wake kama unamuonyesah mweNzi wako si lolote wala chochote sononeko lake linakuwa na uchu wa kupata utulivu ( lakini hii sio cheating) maana imeshakuwa reject sijui tuiiteje. Cheating inakuwa pale hambapo kila kitu kiko sawa au??
 

la hasha, cheating ni kwenda kinyume na commitment baina ya watu wawili walio katika mahusiano ya mapenzi, iwe ni wachumba, au mke na mume. Commitment inayohusisha kuheshimiana, kuaminiana, kuambiana ukweli, na katika na hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…