Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 423
- 726
SEHEMU YA KWANZA
Declaration of Interest Andiko hili lina msingi wa kiimani (Ukristo) lakini pia lugha zilizotumika ni kiingereza na kiswahili ili kuwasilisha ujumbe uliokusudiwa.
Binadamu ameumbwa katika sehemu mbili nazo ni mwili (flesh) na nafsi/roho (Spirit) hivyo basi muunganiko wa sehemu hizi mbili ndio umfanya awe vile atakavyokuwa.
Katika uwiano wa nguvu ya nafsi na mwili ndio huleta matokeo ya jinsi mwanadamu atakavyotenda kwa jinsi ya nje (kimwili) .Nafsi au kwa lugha nyingine utu wa ndani ndio kiongozi wa mwili na sehemu hizi mbili huwa ni “Inseparable” .
Nafsi itapoteza sehemu yake ya uongozi juu ya mwili endapo itakuwa si thabiti (dhaifu) na sehemu kubwa ya udhaifu huu hutokana na kutokuwepo na muunganiko kati ya nafsi ya mwanadamu na Mungu .
Mungu huuisha nafsi na kuziongoza na zaidi humpatia mwanadamu Roho Mtakatifu ikiwa ni sehemu ya usaidizi katika kuimarisha nafsi ya mtu husika.Lakini mara mtu huyu anapofanya hatia hupoteza muunganiko huu na kupoteza uthabiti wa nafsi yake .
Hapa ndipo mwili huchukua hatamu na kuongoza nafsi ya mtu husika katika matendo na matokeo ya nje .(Mwili unatabia zake ambazo pasipo uimara wa nafsi zitafanya hatia hii unaweza kuiona hata wakati mtu mke alipojaribiwa na shetani matokeo ya kimwili ndio yalimfanya ale lile tunda)
SEHEMU YA PILI
Kwanza tuangalie neno “Cheat” lina maana gani ;
informal meaning : To break a promise made to (someone, such as one's wife or husband) by having sex with someone else He cheated on his wife/girlfriend.
Kuna baadhi ya nadharia sinazokanzia kuwa “kucheat” si mpaka kuhusishe tendo la ndoa(sex) bali matendo yote na viashiria vya usaliti tayari hufanya usaliti kamili.
Kama msingi wa andiko hili “Cheating is a process “ hii hutanabaisha kuwa usaliti ni muunganiko wa matukio mengi ambayo huanza na mtu wa ndani kabla ya kuhusisha matendo na utu wa nje .
Hivyo basi kwa mantiki hii jinsia zote hukumbwa na kasumba hii ya usaliti.Ingawa sehemu kubwa ya madhira haya huwaangukia wanaume hii haiondolei ukweli kuwa wanawake pia wanaweza kuwa wasaliti.
Kwanini mwanaume hupaizwa sana kwa usaliti?
Kujibu swali hili ni lazima kuangalia uzani wa jinsia hizi mbili katika muktadha wa aina mbili .
Moja muktadha wa mkulima/mbegu na shamba/mazao.
Katika nafasi hii mwanaume huwa ni mkulima au mbegu ambayo hutakiwa kuchangiza mazao.
Hivyo basi mbegu inapoharibika si mazao wala shamba yatakayofaa kitu .
Mbili katika muktadha wa kichwa au kiongozi wa familia/mahusiano.
From
Ephesians 5:22-24
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as unto the Lord. For the husband is the head of the wife, even as Christ is the head of the church: and he is the saviour of the body.
Sehemu kubwa ya uongozi wa familia na mahusiano iko kwa mwanaume.
Kuna msemo usemao “When the head is rotten You can not ask the body where is it going “
Kutokana na nafasi hizi na kiMungu alizopatiwa mwanaume kwenye maisha ya mwanamke hupelekea mwanaume kubeba sehemu kubwa ya anguko hili katika eneo la mahusiano.
Ni kama vile uzao unapofanya tofauti na kutoendana katika njia impendezayo Mungu basi mwanamke hupaziwa sauti zaidi kwani nafasi ya mwanamke kwenye uzao ni kubwa zaidi.
SEHEMU YA TATU
Mwanaume ameumbwa katika sehemu kuu mbili mtu mme (hii tutaitambua kwa kutumia neno “Man”) na uanaume (hii tutaitambua kwa kutumia neno “Male”).
Asili ya mtu mme ni kuongoza uanaume wa mtu husika . Kusudi la Mungu kwa uanaume wa mtu ni kuzaliana kwa lugha nyingine tungesema “A male is created for the sole purpose of producing offsprings “ na ndio maana kwa kawaida mwanaume huzalisha mbegu nyingi zenye uwezo wa kutunga mimba na huwa katika utayari wa kufanya tendo la ndoa kwa wakati wote .
Lakini mtu mme ameumbwa kwaajili ya utukufu wa Mungu aweze kutawala na zaidi kumwabudu Mungu .Mtu Mume huwa ndio kiongozi wa mwili lakini mwanaume akishuka katika upande wa kiroho basi hatoweza kudhibiti wala kuongoza matendo yake ya mwili .
Miongoni mwa tabia za kimwili humfanya mtu kutokuwa na kiasi ;
From
Galatians 5:19-22
The acts of the flesh are obvious: sexual immorality,impurity and debauchery; idolatry and witchcraft; hatred, discord, jealousy, fits of rage, selfish ambition, dissensions, factions and envy; drunkenness, orgies, and the like.I warn you, as I did before, that those who live like this will not inherit the kingdom of God.
But the fruit of the Spirit is love,joy, peace,forbearance, kindness, goodness, faithfulness,
Sasa mwanaume anapojihusisha na matendo yasiofaa haswa tukiangalia swala la ngono (being sexually active ) huwa anadhoofisha utu wake wa ndani .
Mtu huyu wa ndani anapokuwa dhaifu hupelekea kupoteza matunda ya kiroho hivyo basi kuwa na tabia za “Kinyama”.
Kama walivyo wanyama (mnyama hana nafsi ya utambuzi/ufahamu wa kibinadamu) hivyo mtu ambae utu wake wa ndani umekufa ataanza kuwa na matokeo ya tabia za kufanana na wanyama.
Kama yalivyo “Madume” ya wanyama kutokana na kuwa na asili ya kuzalisha mbegu na kujamiiana hupelekea kutokuwa na “Jike” moja wala kuwa na matamanio kwa huyo tu au kuwa mwaminifu kwa huyo jike mmoja.
From 1 Corinthians 6:18-20
Flee from sexual immorality.All other sins a person commits are outside the body, but whoever sins sexually, sins against their own body.Do you not know that your bodies are temples of the Holy Spirit, who is in you, whom you have received from God? You are not your own;you were bought at a price.Therefore honor God with your bodies.
Sasa mwanaume anapofanya dhambi ya zinaa Roho wa Mtakatifu aliyeko ndani yake huondoka! Hii hupelekea roho chafu (mapepo) kufanya makao ndani ya mtu husika.
Kwa makao haya ya roho hizi chafu mtu huyu ataanza kuchanua matunda ya kimwili zaidi kama tuliyoyaona hapo juu .
Mojawapo katika hayo ni kushindwa kuongoza tamaa zake za kimwili.
Mbaya zaidi ungamano wa tendo la kimwili na mwenza wake hupelekea ungamano la wawili hao katika ulimwengu wa kiroho.
Milango hii iliyofunguliwa huweza kuharibu maisha ya kiroho ya watu hawa wote wawili na hatimaye kuanza kuathiri maisha yao ya nje .
Na hii ndio sababu kubwa watu wengi hushindwa kuachana hata na mahusiano yasio na afya wala tija kwao kutokana na kuungamanishwa Kiroho.
Hivyo basi mara tu kadhia hii inapoingia kwenye mahusiano yapashwa kutubu na kubadilika ili kuimarisha utu wa ndani wa mtenda na mtendewaji.
Forgiveness and healing starts from inner beings with changed behavior,restored commitment to holiness and fellowship with God .
SEHEMU YA NNE
Kwa mtiririko huu utagundua kuwa zile sababu kadha wa kadha zinazotanabaishwa kuwa ndio hupelekea mwanaume “kucheat” si mzizi haswa wa tabia hii kwa ujumla.
Mara nyingi umesikia sababu kama kukosa Amani ,kutafuta faraja,kuhongwa hela,kuvutiwa na maumbile (tamaa za kimwili),Upweke,Kutongozwa,Kurubuniwa na hii kubwa kuliko ya “Just Sex”.
Hizi sababu zote na mengineyo asili yake kubwa ni udhaifu wa nafsi ya mwanaume husika.Hivyo basi katika kufanya majukumu ya ujenzi wa familia na mahusiano mwanamke ni vyema kumuombea mwanaume wake katika maeneo haya matatu Akili ,Roho na Mwili .
Kwa kupitia haya utaweza kuimarisha nafsi yake na wala hautakuwa na kazi kubwa ya kunusa mashati kila mara anapoingia ndani kwako .
SEHEMU YA TANO
“We are made sexual beings. Our sexuality is not something to be denied or made the subject of shame.”
Hitimisho la andiko hili linajikita zaidi kwenye nukuu hiyo hapo juu .
Mungu ametuumba binadamu na sexual needs (mahitaji yetu ya kijinsia) na miongoni mwa mahitaji haya ni “Sexual Pleasures “ ambazo matokeo yake ni kutimiza lile neno lake la kuongezeka na kuijaza dunia .
Ili kuweza kuimudu au kutimiliza hitaji hili njia sahihi si kulikana hitaji hili au kuonea haya ya kuwa pengine unawaka tamaa kwa kuwa wewe ni mwenye dhambi au umejawa mapepo.
Bali kwa kujaza neno la Mungu ndani yako na kuliishi neno lake kwani Roho Mtakatifu atakayekuwa ndani yako atakuwa msaidizi na kukuwezesha katika kuzishinda tamaa za mwili na “taking control of your own flesh “.
From
Psalm 119:11
I have hidden your word in my heart
that I might not sin against you.
Jukumu na uongozi wa matendo yako ni swala la mtu binafsi.
Your sense of maturity should be accompanied with the level of commitment and sacrifices you’re willing to offer to attain your own worth life .
Everything has a price tag ! Choose your price and earn it .
Asante