Technically, it not CHEATING, How does one cheat on someone who is no longer in a relationship with?
However personally I think if while on the break (Im assuming a short one)that happens, the fact that the patner couldn't keep it in his pants will speak volumes to me!
- Was our time together that insignificant?
- Does he really care? If so then why rush into the bed with another?
Lizzy mama, mi kuna kitu nimejifunza kwa hawa wanaume yani huwa wana cheat vibaya sana!!! Ni wachache sana ambao hawatoki nje ya ndoa, wale waliokamatwa/shikwa na Neema ya Mungu kweli kweli, lkn kwa kawaida tu, huwa wanatoka sana.
Sasa basi kama anatoka mkiwa mna amani, furaha na kicheko, si zaidi pale unapokuwa mmenuniana mwezi/ wiki??? Hayo ya alikuwa hajui..... Ni kizingizio tu.hakipunguzi hasira ila kinweza kuongeza hasira!!!
Hapo haswa ndo nnapoongelea!!Kwanini watu wanaona ni kucheat wakati hata kama ni kwa wiki hamkua pamoja!!!
Well the longer someone seats around sobbing for you might help with your self-esteem but not theirs.Wakati mwingine mtu anaenda kwa mwingine haraka as a way of trying to get over the one they have just lost....take it as a ''SELF HELP PROCESS''.
Salam wanaMMU!
Naomba niwaulize kitu..
Wote tunajua kila mahusiano hua yanakua na kiasi chake cha ugomvi!Kuna ule ugomvi ambao unamwacha mtu akifikiria kwamba mwisho wetu umefika...unakuta mtu ana hasira kiasi kwamba hawezi kufikiria kwamba bado ataendelea kua na mwenzake!!Katika hali ya kawaida watu kama hao wanaweza kumaliza hata zaidi ya wiki wakiwa na hasira na hata kama wanaongea haitakua katika hali ya maelewano!Sasa kwa kipindi kama hicho mmoja akihusiana sijui niseme kimwili, na mtu mwingine kama wewe ndo patna wake utapenda kujua pindi mambo yakiwa sawa kati yenu???Je nayo itahesabika kama kucheat???
Na je kama utakasirikia...kisingizio cha ''sikujua tutarudiana'' kitasaidia kupunguza hasira yako??
EloDii....likizo imeisha?
Taratibu na mwalimu wa biafra binti.
Nimekusoma mama!!Kwahiyo hasira zinaongezeka kwasababu mtu anachukulia kama mwenzake alikua anamkomoa au??Maana kama mmegombana mpaka kuambiana kwanzia leo usinijue na juhudi za kukubembeleza zikagonga mwamba KWA MUDA kwanini mtu akasirike baadae??
MCD... naomba kuuliza
Hivi hawa wanaume huwa wanacheat na sungura au wanawake?
Just believe me, hiyo hukumu unayotoa itabaki na wewe hadi utashangaa
Back to Lizzy... Hakuna justification ya cheating hata iweje, whether hasira au excitement... cha maana ni kuwa tayari kuishi na consequences za mistakes tunazofanya kwenye mapenzi
Nijuavyo mimi, mwanaume anaweza akawa alishakuacha siku nyingi lakini bado akaendelea kuishi na wewe for other reasons (sacrifice), which is the worst case a woman need to experience... na hao ndio wale unaowaona wanacheat consistently, ila anaishi na wewe sababu ya wattoto tu!
Wanasema sisi ndio sisi, all problems in our relationships zinaletwa na couples @ 50% each
LD+ nikichangia hii mada hutakasirika?
mbona una ubaguzi wa jinsia?lizzy kaongelea patna we tayari umewarukia wanaume.
Wiki mbili tu kashacheat huyo alikuwa ampenga au alikuwa nae tayari huyo mtu.
Yaani nimegombana na mtu ndani ya wiki mbili hata hasira hazijaisha tayari mmmmhhh hiyo ngumu.
Ila anayerudia ni nani sasa yule ambaye hajacheat au? Ndo anakwenda kubembeleza na kukuta mwenzie kashajipimia tayari??
Let me tell you Lizzy... technically wanawake huwa hawacheat, they always have nice reasons to console themselves when they do it. And guess what, haitakaa itokee mwanaume akajustify going out of relationship hata kama ingekua wako apart for three yearsHapo haswa ndo nnapoongelea!!Kwanini watu wanaona ni kucheat wakati hata kama ni kwa wiki hamkua pamoja!!!