Chauro ni wachache sana wanaoingii kwenye mahusiano wakiwa na malengo thabiti!Wengi ni kwa nia ya kutumiana tu kwa namna moja au nyingine ndo maana kila siku watu hawaishi kuimba wimbo wa 'majaribu'.
Salam wanaMMU!
Naomba niwaulize kitu..
Wote tunajua kila mahusiano hua yanakua na kiasi chake cha ugomvi!Kuna ule ugomvi ambao unamwacha mtu akifikiria kwamba mwisho wetu umefika...unakuta mtu ana hasira kiasi kwamba hawezi kufikiria kwamba bado ataendelea kua na mwenzake!!Katika hali ya kawaida watu kama hao wanaweza kumaliza hata zaidi ya wiki wakiwa na hasira na hata kama wanaongea haitakua katika hali ya maelewano!Sasa kwa kipindi kama hicho mmoja akihusiana sijui niseme kimwili, na mtu mwingine kama wewe ndo patna wake utapenda kujua pindi mambo yakiwa sawa kati yenu???Je nayo itahesabika kama kucheat???
Na je kama utakasirikia...kisingizio cha ''sikujua tutarudiana'' kitasaidia kupunguza hasira yako??
Utakua ni uhuni or umalaya uwezi kugombani ndani ya wiki ukatafuta faraja kwengine ukizingatia tabia za binadamu ni zilezile upishana kidogo tu au ukua na lengo la kumpenda dada hii topic inakulenga nini?
Nikisema inanilenga au la utabadili maoni yako??Nwy hainilengi ila nimeona mahali nikaona niulize jamvini!
Ukweli ni kwamba watu wamesahau kuwa mwili wako sio wakuchezea kama tunavyofanya siku za leo, fikra potofu kuwa mapenzi ndio ukamilisha furaha yako katika maisha. Furaha yako ni kutimiza yale ya msingi katika kutatua shida zinazokusonga ikichangiwa na economic stable. Hasira huwa ni kitu cha kawaida kwa binadamu yeyote cha msingi upendi mwili wako ukihueshimu utaheshimika na hakutatokia na kitu cha cheating kama mada yako+ mtangulize mungu kwa yote ufanyayo.
Kwahiyo kumbe hicho tu ndo kinapelekea watu kucheat??
Nwy asante kwa ushauri japo hata pesa hazikamilishi furaha ya mtu!!!
Kwahiyo kumbe hicho tu ndo kinapelekea watu kucheat??
Nwy asante kwa ushauri japo hata pesa hazikamilishi furaha ya mtu!!!
Mpendwa embu niambie jaribu siku moja ukakosa hela kabisa au ukawa huna hatapale unapotegemea kupata kipato kikakatika then ufikirie mapenzi kama utafarijika sijui anyway mada yako nzuri