Cheating

Cheating

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
tunacheat kwa girlfriend zetu lakini hatutaki wao watucheat kwa sababu hizi
IMG_20180326_113607.jpg
 
Shost aligundua mume wake anacheat on her. Tena kheri akubali na aombe msamaha jamaa alikataa kabisa. Bi shost ni alwatan mjini alapigiwa simu juwa jamaa ameonekana maeneo na totoz mbili mmojawapo ni yule adui wake.
Shost alimuuliza jamaa, kama kawaida alikataa tena alisema hakuwepo mjini. Bank statement ilipoanguka jamaa alikipa bill 200,000 samaki samaki siku ile shost aliidaka.

Alimpa mbwa chakula kwenye dinner plate, mbwa alimaliza supu na kulamba sahani. Aliichukua ile sahani pasi kuiosha akamuwekea mumewe chakula.

Wakati jamaa anapambana na mate ya mbwa yeye moyo wake burdani.
 
Shost aligundua mume wake anacheat on her. Tena kheri akubali na aombe msamaha jamaa alikataa kabisa. Bi shost ni alwatan mjini alapigiwa simu juwa jamaa ameonekana maeneo na totoz mbili mmojawapo ni yule adui wake.
Shost alimuuliza jamaa, kama kawaida alikataa tena alisema hakuwepo mjini. Bank statement ilipoanguka jamaa alikipa bill 200,000 samaki samaki siku ile shost aliidaka
Ikawaje?
 
Back
Top Bottom