pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Akihojiwa na BBC mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Kenya (IEBC)amedai kuwa wajumbe wamegawanyika, mawazo yake ya kuboresha uchaguzi ili uwe na usawa kama mahakama ilivyoagiza hayazingatiwi na wajumbe wamegawanyika, na ili kuleta umoja ndani ya Tume amewaagiza makamishna wote wajiuzulu ili wateuliwe wapya kwa ajili ya mustakabali wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo.