pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Kwa katiba ya Kenya M/kiti hana mamlaka ya kuagiza Makamishna wajiuzulu yeye mwenyewe mteuliwa kama walivyo hao makamishna.Akihojiwa na BBC mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Kenya (IEBC)amedai kuwa wajumbe wamegawanyika, mawazo yake ya kuboresha uchaguzi ili uwe na usawa kama mahakama ilivyoagiza hayazingatiwi na wajumbe wamegawanyika, na ili kuleta umoja ndani ya Tume amewaagiza makamishna wote wajiuzulu ili wateuliwe wapya kwa ajili ya mustakabali wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo.
Wauane mara ngapi? 67 washauliwa na polisi tayari. Na hakuna aliyechukuliwa hatua mpaka mida hiiAngalieni msijeanza kuuana.
bora warudishe katiba ya enzi za Moi tuAngalieni msijeanza kuuana.
Where do u get that!!??Lakini hata wakijiuzulu muda ni mfupi sana kuanda huo uchaguzi, nchi inatakiwa itawaliwe kwa Transition Government, lead By Speaker/Chief Justice
Akihojiwa na BBC mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Kenya (IEBC)amedai kuwa wajumbe wamegawanyika, mawazo yake ya kuboresha uchaguzi ili uwe na usawa kama mahakama ilivyoagiza hayazingatiwi na wajumbe wamegawanyika, na ili kuleta umoja ndani ya Tume amewaagiza makamishna wote wajiuzulu ili wateuliwe wapya kwa ajili ya mustakabali wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo.
Where do u get that!!??