Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwanaKJJ NSSF inakuhusu nini? Hivi vifo vilikuwa ni mapenzi ya Mungu na wanadamu wameyatimiza tu bila kujijua. Sasa mambo ya kutafutana uchawi hayatawarudisha watoto hao. Wenyewe NSSF wala hawasumbuki na hiyo ripoti kwani walishajua itasema nini. Na kutoka kwa 'mkuu' wetu hakuna kiongozi yeyote mwingine wa serikali atakayewajibishwa kwani ripoti haina nguvu.
Habari ndiyo hiyo!
Asante.
Hili suala la NSSF na vifo vya watoto Tabora ni la kulikalia pembeni kabisa... ningejua wala nisingeligusa.
Unapenda tukuulize kwa nini au utatuleza bila hata ya kukuuliza...?