Check engine light

Bee hive

Senior Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
146
Reaction score
54
Habari wanajamii!,
Naomba ushauri nini nifanye kutatua tatizo kwenye gari (nissan x trail). Nilibadilisha crankshaft position sensor recently, ila baada ya hilo zoezi, check engine light ipo on always gari likiwa on. Nifanye nini kutatua tatizo?.
 
Hapo mwanzo ilipowaka iliwaka kwa tatizo gani? na kama ndio ilikuwa hio crankshaft position sensor, basi mwambie aliekufanyia diagnosis afanye reset. Halafu endesha, ikirudi tena kuwaka, fanya diagnosis, ukiona sababu ndio hio hio basi ujue mgonjwa hujamtibu bado
 
Thanks Chilubi!, hiyo sign iliwaka baada ya kubadilisha hiyo sensor, ngoja nije nitafute scanner ni chunguze tu
 
Thanks Chilubi!, hiyo sign iliwaka baada ya kubadilisha hiyo sensor, ngoja nije nitafute scanner ni chunguze tu
Saa nyingine huwa ni sensor tu ishakufa. njia rahisi kufanya reset, ni kuchomoa battery kama kwa sekunde 15 akisha rudisha, an erro kwenye dashboard inatakiwa izime, ikirudi tafuta scanner. Kabla ya kuchomoa betri hakikisha gari yako haina immobilizer, maana kuna baadhi ya magari ukichomoa betri tu, basi haiwaki mpaka iwe programmed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…