Check my site. Category zimepinda

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Habari jamani

Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee.

SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A Trusted Gateway to Your Dream Career!
 
Hi

Ingia kwenye Theme yako kisha tafuta hii

Code:
li.recent-posts {
    clear: both;
    overflow: hidden;
    list-style: none;
    border-bottom: 1px solid #e3e3e3;
    word-break: break-word;
    padding: 10px 0;
    margin: 0px 38% 0px 38%;
}
}

Badilisha kuwa hii

Code:
li.recent-posts {
    clear: both;
    overflow: hidden;
    list-style: none;
    border-bottom: 1px solid #e3e3e3;
    word-break: break-word;
    padding: 10px 0;
    margin: 0px 0% 0px 38%;
}
}
 
Kitu cha msingi hapo ni

Code:
    margin: 0px 38% 0px 38%;
 
Hakuna Gurus humu leo
 
Code:
///ona kosa lako ni hiyo padding kwenye hiyo ul
<ul id="recent-posts">.......</ul>
ul#recent-posts {
    list-style: none;
    margin: 0;
    padding: 40px;
    width: 100%x;
}
//solution ni kuiondoa hiyo padding kisha fanya hivi
ul#recent-posts {
    list-style: none;
    margin: 0;
    width: 100%x;
}

//si hapo tu njoo hapa toa margin ni uchafu
li.recent-posts {
    clear: both;
    overflow: hidden;
    list-style: none;
    border-bottom: 1px solid #e3e3e3;
    word-break: break-word;
    padding: 10px 0;
    margin: 0px 0% 0px 38%;
}

//iwe hivi

li.recent-posts {
    clear: both;
    overflow: hidden;
    list-style: none;
    border-bottom: 1px solid #e3e3e3;
    word-break: break-word;
    padding: 10px 0;
}
//nimemaliza nipe pesa yangu
Anaeweza kutoa msaada sasa hivi.

Refer: Check my site. Category zimepinda

Kuna Tsh 5,000 ya Vocha hapa mfuko wa shati
uandishi a css mbaya kuna property umeziweka mwenyewe visivyo

fanya hivi alafu leta mrejesho Kisha unipe faster hiyo bukutano
 
Habari jamani

Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee.

SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A Trusted Gateway to Your Dream Career!
nimekujibu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…