unknown animal JF-Expert Member Joined Jul 18, 2012 Posts 337 Reaction score 51 Aug 15, 2012 #1 hivi hawa watu wanaojizushia vifo ni kwamba wanataka kujua thamani yao kwa jamii,umaarufu wao au ndo kwamba uwezo wa akili kufanya kazi umefika mwisho
hivi hawa watu wanaojizushia vifo ni kwamba wanataka kujua thamani yao kwa jamii,umaarufu wao au ndo kwamba uwezo wa akili kufanya kazi umefika mwisho