Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Wengine hatupaki kabisa Make up na tunakimbizaaa,halaf hawa hua hawachoki kwenda beach??
Mim siku nikipaka make up nadhani nitatisha zaidi....najiona poa bila make up
Nadhani pia sababu zimenipitia mbali ndiyo maana...mhh pakaabaaaa.....kidogo na kwa ustadi na unadhifu! inapendeza!!muhmu ni kutozidisha!
Kuna watu wana raha na ndoa zao jamen hadi wivu asee...
Mmmh kibongo bongo ntaonekana napenda kujirushaMwambie tu shem wangu awe anakupelekaaa hata Tunza bichii tu sawaa
mhh pakaabaaaa.....kidogo na kwa ustadi na unadhifu! inapendeza!!
muhmu ni kutozidisha!
Embu naomba nipigie sina no yako
Nampenda beyonce
Nyingine hiyooo
Na huyo ni Kelly Rowland
Tyra Banks nae bila make ups
Oprah Winfrey bila make ups
Bey is naturally beautiful yani...oprah mhh,..
Aisee Jombaa hizo picha zinatisha sana.... Mwe!!!