Check Out Kelly Rowland And Her Fiancee Looking HOT

Ila niseme tu ukweli hakunaga celeb wa kike US ninaemkubali kama huyu dada na kidogo Anne Hathaway!!

Ile NGOZI na FIGURE na TABASAMU ndo nakufa kabisa...
 
Amekaa kisukuma kabisa sishangai akikuvutia
 
Kweli make up aliyeileta duniani aliwaza mbali sana.
 
Si nilisikia anatoka na trey song au ni magazeti ya udaku?
 
Tyta wewe ni hatari 😀 Hahahahaaa..
 
Last edited by a moderator:
Ila niseme tu ukweli hakunaga celeb wa kike US ninaemkubali kama huyu dada na kidogo Anne Hathaway!!

Ile NGOZI na FIGURE na TABASAMU ndo nakufa kabisa...
the lady is beautiful.. figure, height, skin texture vyote vinafutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…