hahahahaha season bado haijaisha lakini! wafanyabiashara hao.
hahahaha au wale ma-weatherman wa kwenye TV za bongo hahaha na viswahili vyao vya kizushi, ati, "mvua za kadri...." LOL. Sikumbuki hata siku moja wale jamaa kupatia, unaweza kubeba mwamvuli na koti siku ya jua la utosi...
nadhani jamaa aliyegundua jinsi ya kutoa majina alikuwa anakwenda thru a nasty divorce au ndio mambo ya 'mother nature' LOL..i don't know!! maana hata hii ya kuchanganya na majina ya kiume imeanza hivi karibuni tena baada ya feminists kulialia foul!!
Hurricane itakayofuata itaitwa Gustav (dume), baada ya hapo ni Hanna (kike) na kama tunabusy season mpaka herufi ya mwisho basi itakuwa Wilfred...lakini season ipo slow, sidhani kama tutafika mbali kote huko.